Ndimwihia ona wanyona...
Kuma riria ndaciarirwo
Ndimwihia ona wanyona..
Ni tha cia Ngai cianginyiire
Akiruta muruwe, niguo ndure
Akiambwo mutharaba ini niguo ndure
Agikua githikwo niguo ndure
Akiriuka niguo ndure
Ii ndumurihire thiire (Nie)
Aa ndi murihire thiri
Ii ndimurihire thiri (ni Jesu)
Aa ndi murihire thiri
Ii ndimurihire thiri
Tangazo, tangazo kwa Ibilisi
Mimi sio mateka tena, mimi sio mtumwa
Pale Calvary nililipiwa madeni yangu
Pale msalabani nikawekwa huru
Uhai waku ukaripiwa gharama
Climax
Amani yangu nimelipiwa gharama
Furaha yangu nimelipiwa gharama
Afya yangu nimelipiwa gharama
Kuishi kwangu nimelipiwa gharama
Pale msalabani Calvary...
Climax
Nime lipiwa madeni yote
Nime lipiwa madeni zangu
Nime lipiwa madeni yote
Nime lipiwa madeni yangu
Ukiona ninafurahia (nime lipiwa)
Ukiona ninashangilia (nime lipiwa)
Ukiona nina (nime lipiwa madeni zangu)
Climax
No comments:
Post a Comment
Leave a comment